Densi Ya Mwezi Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 1

【電子書籍なら、スマホ・パソコンの無料アプリで今すぐ読める!】


Densi Ya Mwezi Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 1

楽天Kobo電子書籍ストア

733 円 (税抜き)

Devon ni chui, aliye na ukorofi kidogo na ni mmoja wa wamiliki wa Densi ya Mwezi. Ulimwengu wake unapinda kwenye mhimili wake wakati anapomuona msichana wa kuvutia mwenye nywele nyekundu akicheza kwenye sakafu ya densi, akiwa na moyo wa ubeuzi na kipiga shoti. Wakati vita vya wafyonza damu vikiwa vinaendelea, Devon aliapa kumfanya mwanamke huyu awe wake… na angepigana hadi kufa ili kumpata. Maisha ya Envy yalikuwa mazuri. Kaka mzuri, mpenzi mzuri, na kazi bora zaidi msichana angeweza kufanya…mhudumu kwenye baa kwenye kilabu mashuhuri zaidi mjini. Angalu yalikuwa mazuri hadi alipopata simu kutoka kwa mmoja wa rafiki zake mzuri kuhusu mpenzi wake akicheza densi ya wima kwenye sakafu ya densi pale kwenye Densi ya Mwezi. Uamuzi wake wa kukabiliana naye ulianzisha msururu wa matukio ambayo yalimjulisha kwenye ulimwengu wa kimiujiza uliyokuwa umefichwa chini ya shughuli za kawaida za kila siku. Ulimwengu ambao binadamu wanaweza kugeuka kuwa chui, wafyonza damu kutembea mitaani, na malaika walioanguka kutembea kati yetu. Devon ni chui, aliye na ukorofi kidogo na ni mmoja wa wamiliki wa Densi ya Mwezi. Ulimwengu wake unapinda kwenye mhimili wake wakati anapomuona msichana wa kuvutia mwenye nywele nyekundu akicheza kwenye sakafu ya densi, akiwa na moyo wa ubeuzi na kipiga shoti. Wakati vita vya wafyonza damu vikiwa vinaendelea, Devon aliapa kumfanya mwanamke huyu awe wake… na angepigana hadi kufa ili kumpata. PUBLISHER: TEKTIME画面が切り替わりますので、しばらくお待ち下さい。
※ご購入は、楽天kobo商品ページからお願いします。
※切り替わらない場合は、こちら をクリックして下さい。
※このページからは注文できません。

この商品の詳細を調べる


本・雑誌・コミック » 洋書 » FICTION & LITERATURE
kidogo kilabu angepigana kipiga walioanguka