Mwanga Wa Usiku Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha Pili

【電子書籍なら、スマホ・パソコンの無料アプリで今すぐ読める!】


Mwanga Wa Usiku Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha Pili

楽天Kobo電子書籍ストア

733 円 (税抜き)

Kat Santos alikuwa hajamuona mwenye kilabu cha Mwanga wa Usiku kwa miaka. Hiyo ilikuwa hadi Quinn alipoamua kumteka nyara ghafla na kumshitaki kuwa alimtega kwa mauaji yaliyo timizwa na wafyonza damu. Walipogundua kuwa adui alikuwa akiwachezea, familia zote mbili zinaunganisha nguvu zao kuwazuia wafyonza damu kuutisha mji wao. Quinn Wilder alimuangalia kwa macho ya njaa ya simba tangu siku aliyozaliwa. Alipofikia ujana, hamu ya kumdai kuwa mwenzake kuligeuka kuwa mgawanyiko mkubwa kati yake na kaka zake waliyokuwa walinzi wake. Wakati baba zao walipouana vitani, mahusiano kati ya familia hizo mbili zili katika na aliwekwa mbali naye. Akimchungulia kutoka mbali, Quinn anaviona vita vya wafyonza damu kuwa na uzuri wake wakati Kat anasahau kukaa mbali naye. Kat Santos alikuwa hajamuona mwenye kilabu cha Mwanga wa Usiku kwa miaka. Hiyo ilikuwa hadi Quinn alipoamua kumteka nyara ghafla na kumshitaki kuwa alimtega kwa mauaji yaliyo timizwa na wafyonza damu. Walipogundua kuwa adui alikuwa akiwachezea, familia zote mbili zinaunganisha nguvu zao kuwazuia wafyonza damu kuutisha mji wao. Wakati vita vya chini kwa chini vikishika kasi, pia miale ya tamaa kwa kile kilichoanza kama kuteka nyara inageuka haraka kuwa mchezo hatari wa utongozaji PUBLISHER: TEKTIME画面が切り替わりますので、しばらくお待ち下さい。
※ご購入は、楽天kobo商品ページからお願いします。
※切り替わらない場合は、こちら をクリックして下さい。
※このページからは注文できません。

この商品の詳細を調べる


本・雑誌・コミック » 洋書 » FICTION & LITERATURE
vikishika mchezo kilabu kumteka haraka